NCT Highlights

Highlights

Tangazo la Masomo ya Utalii na Ukarimu 2017/18

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii, anawatangazia Watanzania wote nafasi za Mafunzo ya Ukarimu, Utalii na Uongozaji wa Watalii (Hospitality, Tourism and Tour Guide Operations) kwa ngazi ya Cheti na Diploma yatakayoanza mwezi wa Septemba 2017. Chuo kina Kampasi tatu, Bustani na Temeke kwa Dar es salaam na Kampasi ya ArushaAttachment:

attachment Tangazofin1NCT.pdf

The College

NCT offers trainings in hospitality and tourism as well as reseach and consultancy services in the country

Admissions and Fees

The College, renowned for its Core Curriculum and Short Courses in hospitality and tourism on both campuses

Tourism Careers

The Tanzania tourism industry is a dynamic industry offering opportunities for varies levels of skills, experience and education